Thursday, August 12, 2021

feso

Kutoka @kmcfc_official KMC FC YAENDELEA KUJIFUA KUELEKEA LIGI KUU DHIDI YA MBE...

Kutoka @kmcfc_official KMC FC YAENDELEA KUJIFUA KUELEKEA LIGI KUU DHIDI YA MBE...

Kutoka @kmcfc_official

KMC FC YAENDELEA KUJIFUA KUELEKEA LIGI KUU DHIDI YA MBEYA CITY
Timu ya mpira wa miguu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC imeendelea leo kujifua katika mazoezi yake ikiwa ni katika hatua ya kujiandaa na ligi kuu Tanzania bara itakayoanza Septemba sita  mwaka huu.
Katika msimu huo wa ligi, timu ya  KMC FC itaanza mchezo wake wa kwanza siku ya Jumatatu Septemba saba mwaka huu katika Dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam ambapo itakuwa wenyeji wa mchezo huo dhidi ya Mbeya City kutoka Mkoani Mbeya.
Kocha wa timu hiyo, Habibu Kondo amesema kuwa kikosi chake kipo vizuri na kwamba wapo tayari kwa  mtanange huo katika kuhakikisha kuwa wanakuwa mabingwa kwenye msimu  wa ligi 2020/2021 .
Ameongeza kuwa katika maandalizi hayo wameweza kuboresha kikosi hicho ikiwa ni pamoja na kurekebisha changamoto zilizojitokeza katika msimu uliopita na kwamba katika msimu huu timu hiyo imekuwa na maboresho makubwa.
Amefafanua kuwa katika maandalizi hayo timu ya KMC FC imecheza michezo ya kirafiki    nane ambayo ni dhidi ya timu  za DTB Bank, Kagera sugar, Namungo, JKT Tanzania, Polisi,  Azam pamoja na Simba  ambapo kupitia mechi hizo zimeiwezesha timu kujiweka sawa kwa ajili ya kuanza ligi kuu.
Imeandaliwa  leo Septemba 3
Na Christina Mwagala, Afisa Habari wa KMC FC.

#norbertmartin #mzeewaluvambala #zotezetusafii #bakinasisi_ #supersub #njookwetu #NjooKwetu #vodacompremierleague #ligikuutanzaniabara #wawekezajiniwananchiwenyewe #TimuBoraBidhaaBora #tetesizausajili #TimuYawananchi #cafchampionsleague #cafconfederationcup #usikumnene #simba #yangasc #love #doordie #NguvuMoja
#norbertmartin #mzeewaluvambala #sportsdira #sports




http://shoppingdealer.com/


http://ymarryme.com/


http://dratef.net/


http://semnatv.com/


http://arabtv6.com/

feso

About feso -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :