Wednesday, September 29, 2021

feso

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo, amesema msimu uliopita ulikuwa na ...

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo, amesema msimu uliopita ulikuwa na ...

➡️Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo, amesema msimu uliopita ulikuwa na malalamiko mengi kwa waamuzi.👇🏿👇🏿

🗣️ "Yapo  malalamiko ambayo yalifanyiwa kazi na Kamati ya Waamuzi baada ya kufika mezani, lakini mengi yalishindwa kuchukuliwa hatua kwa sababu hakukuwa na ushahidi wa kutosha"

"Bodi ambayo ina dhamana ya Ligi za Tanzania, msimu huu tutafuatilia kila mechi itakayochezwa kuanzia Daraja la Pili (SDL), Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Kuu  (VPL) na ikitokea tukabaini kuna mapungufu kwa yeyote hatutasita kuingilia kati ili kuhakikisha hatua stahiki inachukuliwa na wale watakaobainika kufanya mchezo mchafu"

"Tunahitaji ligi ya msimu huu iwe ya tofauti kubwa na zile zilizotangulia hasa katika kuhakikisha waamuzi wanatimiza wajibu wao kikamilifu kwa sababu tunaamini wao ndio chanzo cha kuharibu mchezo  mzima pale watakapofanya maamuzi kinyume na sheria 17 zilizowekwa".
-Amesema Kasongo..!
.
👉🏿KUMBUKA ILI UWE NA UHAKIKA WA KUPATA UHONDO WA SOKA KILA MARA, Fanya Yafutayo; 👇🏽👇🏽
1️⃣Like Post Hii
2️⃣Bonyeza Vidoti vitatu juu ya Post hii, kisha weka Post Notification ON
3️⃣Follow @footballtv.tz Hashtag: #footballtvtz
4️⃣Tag Rafiki yako mpenda soka
.
.
.
.
.
#yangasc #simbasc #nguvumoja
#timuyawananchi #yangasctanzania #burudanikwawote #tetesizausajili #usajili #hajimanara #manara #patrickrweyemamu @tplboard #twenzetukwenyemabadiliko #sports #michezo #sisinisoka #wapesalaam #thisissimba #vodacompremierleague #azamtvtz #yangasctanzania @tanfootball #antonionugaz #ligikuutanzaniabara #vpl #simbasctanzania #footballtvtz




http://shoppingdealer.com/


http://ymarryme.com/


http://dratef.net/


http://semnatv.com/


http://arabtv6.com/

feso

About feso -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :